Baadhi ya Wajukuu wa Homeli waliomtembelea Mama Sam - Gongo La Mboto Mama Mkubwa (aka Mama Sam) alipotembelewa na wajukuu wa Mwambuga kumpa pole ya Msiba wa Mumewe, Mpendwa Marehemu Baba Mkubwa Absalom Mwakyusa tarehe 6 March 2011 nyumbani kwao Gongo la Mboto Dar es Salaam