
Chado akiendelea na kikao kama kawaida!!

Shem katibu akiwa na chado kikaoni

Da Flora akisisitiza jambo

Lilian na Ndaga wakiagana baada ya kikao

Lu akiwa Chado Kikaoni

Wanakamati wakijadiliana

Mrs. Afande

Prosper anampigia simu Jr

Lusajo, Ndaga, Lauren (Tichi), na Chado

Dr. Sekela akiwa na Sekela

Jr akiwa na Heineken yake

Da' Ndaga

Prosper Akitafakari

Keki ya mama Ipyana (Zawadi kwa wajukuu wa Homeli)


Pendo Mark alikuwepo

Afande akijadili jambo na Pendo

Mbuzi choma ilikuwepo!!!

Chado akionja maji ya kunywa.......

Yonah na Flora wakijadiliana.