Kikao
Hii ndugu wajumbe msisahau kuhudhuria kikao kesho Jumapili 5 Dec 2010 saa tano Mbezi Beach kwa Prosper na Ndaga Magambo, kikao kinaanza saa Tano asubuhi, tafadhali njoo na draft ya Katiba. Tujaribu kuvunja utamaduni wazamani wa kutozingatia muda
Ndugu zangu,
ReplyDeleteNimepata taarifa kuwa kikao kilifanya sana kwani malengo yote yaliyotarajiwa yalikamilishwa.
Tunaomba picha ili sisi tuliokuwa mbali na eneo la tukio tuone ni jinsi gani mlitimiza yaliyolengwa.