Familia Ya Mwakyusa
Pata habari kuhusu matukio mbalimbali katika familia ya Homeli Mwakyusa
Wednesday, April 11, 2012
NYAMA CHOMA!
Soup!!
Eh! Kumbe kuku ilikuwepo, me sikupata inaelekea ililiwa jikoni!
Mbuzi alikuwa amenona!
Nyama ikiwa jikoni inaiva tartiiiibu!
Wameshiba round ya kwanza!!
Ni kula nyama tuu baasi!
Wanaume wameshakata sahani moja, mbili, tatu, nne.... duh!
Shem Happy na alikuwepo.
Mtambo ukiwa kazini!! Thanks Dave.
Dr. Sekela akiisifia mbuzi jinsi ilivyotamu!!
Wakina dada wakijichana mbavu za mbuzi!
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)