Wednesday, April 11, 2012

NYAMA CHOMA!




















Soup!!
Eh! Kumbe kuku ilikuwepo, me sikupata inaelekea ililiwa jikoni!
Mbuzi alikuwa amenona!
Nyama ikiwa jikoni inaiva tartiiiibu!

Wameshiba round ya kwanza!!


Ni kula nyama tuu baasi!

Wanaume wameshakata sahani moja, mbili, tatu, nne.... duh!
Shem Happy na alikuwepo.
Mtambo ukiwa kazini!! Thanks Dave.
Dr. Sekela akiisifia mbuzi jinsi ilivyotamu!!
Wakina dada wakijichana mbavu za mbuzi!

2 comments:

  1. Ilikuwa siku nzuri sana, unaposhushia point kwa pande la nyama kikao kinakuna maridadi.

    ReplyDelete