Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa
Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa na Kulia ni Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Mwesigwa Selestine.
Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa kwa ajili ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa mafia jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment