Friday, October 8, 2010

Ijue Familia ya Mwakyusa


Napenda kuchukua nafasii hii kukukaribisha katika blog hii ya familia ya Mwakyusa. Blog hii itakupa habari mbalimbali za famili ya Mwakyusa. (Lusajo T. Mwakyusa)

Kushoto ni mwanzilishi wa Blog hii Eng. Lusajo Tonnie Mwakyusa na Kaka yake Mark Tonnie Mwakyusa. Picha hii ilichukuliwa miaka ya kati ya sabini (1976) walipoluwa nchini Kenya katika miangaiko ya kuatafuata maisha.



















3 comments:

  1. This was 1976 enzi za kuvaa sare sare

    ReplyDelete
  2. Saresare maua.. asiyejua kuchagua... kabila lake.....!!! long time nakumbuka enzi hizi nilikuwa chuo cha uongozi wa chama (CCM - Magogoni)na kina mzee malechela (class monitor)

    ReplyDelete