Pata habari kuhusu matukio mbalimbali katika familia ya Homeli Mwakyusa
Monday, October 11, 2010
Mama Ndaga's Birthday
Sherehe ndogo ya kuadhimisha miaka 63 ya kuzaliwa Mama Ndaga (Mrs. Eunice Mwakyusa in Red) iliyofanyika Sea Cliff Hotel tarehe 8/9/2010. Pichani ni Dr. Ambwene TH Mwakyusa na Arch. Ndaga Juliet Magambo.
Its 65 years and not 63.....ndaga
ReplyDelete