Ziwa Kisiba - Tukuyu Masoko - Moja ya vivutio vilivyopo Nyumani kwetu Masoko. Ziwa hili ndilo wazee wetu walipojufunzia kuogelea katika ujana wao. Ila sasa hivi sisi mayaki hata kuoga tunaona noma
Hapa ndipo waliposoma wazee wetu (Shule ya Msingi Masoko)
Wazee wetu wakiwepo Kingdom Mwakyusa (Uncle King), Prof. David Mwakyusa (Baba Sekela), Dr. Ambwene TH Mwakyusa (Baba Ndaga) Brighton Mwakyusa (Uncle Brighton), Thompson Mwakyusa (Baba Mdogo Tom - Baba Ipyana) Jestina Mwakipesile (Shangazi Jestina - Mama Stella) na wengine wengi.
Hapa ndiyo alipo pumzika Babu yetu Chief Homeli Mwambuga (Mwakyusa) Mei 3. 1978.
Nyumbani kwake Mbeya, Tukuyu, Masoko, Busisya - Runbwe Magharibi
Wow - I am impressed. Nasubiri picha za masoko nyingine
ReplyDeleteVERY COOL...NDAAA FIJO
ReplyDelete