Baadhi ya sehemu za kazi za Lusajo .... Hapa ni Somanga mkoani Lindi
Hili ni Bomba la Gesi lilo Somanga tokea Visiwa vya Songo Songo kwenda Dar es Salaam
Huu ni mtambo wa gesi ulio Somanga ulionganishwa na Kiwanda cha TANESCO ili kuzalisha umeme wa Kilwa
No comments:
Post a Comment